Lengo ni kumtambua kila mwananchi wa kata ya kilakala
Mapema leo hii tarehe 17/02/2026 zoezi la uandikishaji wananchi limeanza rasmi katika kata ya kilakala lengo kuu ikiwa ni kuwasajili wananchi kwa mfumo wa kidigitali ili iwe rahisi kuwafikia na kuwatambua kwenye sekta za maendeleo na fursa