Logo 2

JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

JUKWAA LA MAENDELEO YA VIJANA, WANAWAKE NA WAZEE

OFISI YA MH. DIWANI

KATA YA KILAKALA

Logo 1

Habari & Matukio

Habari & Matukio
AFISA USAJILI WAKIWA TAYARI KWA ZOEZI

Lengo ni kumtambua kila mwananchi wa kata ya kilakala

Habari & Matukio
ZOEZI LA UANDIKISHAJI/USAJILI WANANCHI WA KATA YA KILAKALA

Mapema leo hii tarehe 17/02/2026 zoezi la uandikishaji wananchi limeanza rasmi katika kata ya kilakala lengo kuu ikiwa ni kuwasajili wananchi kwa mfumo wa kidigitali ili iwe rahisi kuwafikia na kuwatambua kwenye sekta za maendeleo na fursa